Simba yajifua kwa mikwaju ya penati, Kagere aja na 'style' ya Bruno wa Man United

3 Просмотры
Издатель
SIMBA YAJIANDAA KWA MATUTA: Tazama jinsi kikosi cha Simba kilivyoyatumia mazoezi yao ya leo kujifua katika mikwaju ya penati. Kumbuka mechi iliyoko mbele yao ni fainali ambayo endapo dakika 120 zitamalizika kwa sare, penati ndizo zitakazoamua bingwa wa ASFC msimu huu.

Ukitazama hadi mwisho video hii utamuona mmoja anajaribu kupiga kama Bruno Fernandez yule wa Man United. Je, ni nani huyo?Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:


Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►INSTAGRAM:
►INSTAGRAM:
►TWITTER:
►FACEBOOK:
►WEBSITE:
Категория
Мода и стиль
Комментариев нет.